Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Zipo 2 Kwenye Fence
KODI 300,000 × 6
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: DAKIKA 6-7 KWA KUTEMBEA TU 🚶🚶
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
#CHOO KIZURI CHA NDANI
#JIKO WASTANI
#LUKU Na METER YA MAJI INAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS
#PARKING KUBWA SANA 🚗
#TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
#GOOD ENVIRONMENT 👍
📌CAUTION MONEY 1 MONTH ⚠️
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp