Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#OFA OFA OFA NIMEISHUSHA MIEZI KIDOGO LIPA 230,000 ร 3 Au 220,000 ร 6
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Location: KIMARA MWISHO
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
Distance: KM 1.7 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA DK 4 UPO NYUMBANI ๐ถ๐ถ
๐SEBULE KUBWA SANA
๐CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
๐JIKO ZURI KUBWA
๐PUBLIC TOILET NZUR YA NJE ๐ป
๐TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
๐LUKU YAKO
๐MAJI METER YAKO
๐DAWASA YANAFLOW NDANI 24HRS
๐RESERVE TANK
๐NDAN YA FENCE
๐PARKING SPACE KUBWA ๐
๐PAVING BLOCK SAFI ๐ซ
๐MAZINGIRA MAZURI Na TULIVU SANA ๐
KODI NI 230,000 ร 3 Au 220,000 ร 6 CHAGUO NI LAKO NDUGU MTEJA WANGU
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp