Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#0742260844
#0657384670
.
APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 120,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIMOJA TUU KIKUBWA CHENYE CHOO NDANI
#MASTER BEDROOM KUBWA TUU
#HAKUNA SEBULE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA
#IPO NDANI YA FENSI YENYE USALAMA WA KUTOSHA
❌ANATAKIWA MPANGAJI MSELA TUU WA KIKE AU WA KIUME
BEI NI 120,000/= X 6
đź’«đź’« APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA VIZURI SANA HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA