Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Karibu na Efm Radio), Dar-Es-Salaam, Tanzania 🇹🇿
Ina :
🟢 Chumba Kimoja Cha Kulala, Sebule, Jiko na Choo
🟢 Inajitegemea Kwenye Umeme
Kodi : 500,000 Tshs Kwa Mwezi
(Kodi inajumuisha gharama za maji, ulinzi na usafi)
Itakuwa Wazi Tar 1/12
Ila Kuona Na Kulipia Ruksa
Kwa Mawasiliano Zaidi:-
0743688011


















