Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT Classic For Rent ✨️
Location: MBEZI KIBANDA CHA MKAA
IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
KODI 250,000 × 4/5/6
USAFIRI BAJAJI 700/ BODA 1000 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
SEBULE KUBWA SANA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
JIKO KUBWA ZURI
PUBLIC TOILET NZURI 🚻
INAJITEGEMEA UMEME Na MAJl
MAJI YANAFLOW JIKONI Na CHOONI
FENCED
PARKING Space Kubwa 🚗
Good Environment 👍
KODI 250,000 × 4/5/6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp