Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:
(Zipo Tatu Tu Kwenye fensi)
Location :: Mbezi beach kkkt
Bei yake :: 500,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Chumba (Kimoja ambacho ni Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans & Air Conditions
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Cctv Cameras
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fence
Angalizo/anatakiwa mtu mstaarabu/wakike wakiume
Call
📲 0682 402 327 📶
📲 0653 267 999 📶 ya WhatsApp