Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: TABATA MIGOMBANI STAND
Usafiri 24Hours Bajaji 500
Kutoka UBUNGO EXTERNAL Au TABATA KIMANGA
Ukishuka Dk 7 Kwa Kutembea Tu 🚶🚶
PRICE: 250,000 × 6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Kitchen With Cabinets
✍️Umeme Na Maji Meter Yako
✍️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✍️Reserve TANK
✍️Fenced &Parking Yakutosha 🚘
✍️Full Paving Blocks 🚫
✍️Good Environment 💥
Barabara Ni Nzuri Kwa Aina Zote Za Magari 🚗
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp



















