Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


:
CHUMBA MASTER NA JIKO 200k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO KIBANGU JUU
Umbali wa Kilomita 1.3 kutoka Stand Riverside, Usafiri Boda 1000
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER BEDROOM
• JIKO ZURI
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 200,000/- Malipo Miezi 6
PIGA TU SIMU:: 0672 673363