Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







(250,000X6) UBUNGO MAKOKA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KODI 250,000X6
LOCTION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA KIMARA KOROGWE MWENDO KASI AU UBUNGO RIVER SAID
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO NZR LA KISASA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
IPO WAZI NDUGU ZANGU PICHA ZA NDANI ZITAWAJIA KESHO WAI NDUGU MTEJA
MAWASILIANO
0716223412
0618976024



















