Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment Nzuri INAPANGISHWA ✨️
Location: UBUNGO EXTERNAL
Distance: 5 Minutes From Mandela Road
PRICE: 250,000
✔️Sebule Kubwa Sana
✔️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✔️Umeme Na Maji Unajitegemea
✔️Yanaflow Chooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Good Environment 💥
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp