Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 150,000 × 6 INAPOKELEWA
LOCATION:UBUNGO MAKOKA
DISTANCE: KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 500 KUTOKA KIMARA KOROGWE MWENDOKASI Au UBUNGO RIVER SIDE
⚡️SEBULE KUBWA SANA
⚡️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
⚡️JIKO KUBWA ZURI
⚡️MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 24HRS
⚡️UMEME LUKU YAKO
⚡️HAINA FENCE
⚡️USALAMA KAMA LUGALO
⚡️PARKING SPACE
⚡️GOOD ENVIRONMENT 👍
NB: INAKUWA WAZI 30/05/2025
KUONA NYUMBA Na KULIPIA RUKSA BOSS 💰 ✍️
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp