Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Nzuri INAPANGISHWA ✨️
Location: UBUNGO EXTERNAL- MAJI CHUMVI
(KWA SWAI) Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500 UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
✍️Sebule Kubwa
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Sehemu Ya jiko
✍️Ipo Kwenye Fence
✍️Parking Space Available 🚘
✍️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✍️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✍️Reserve TANK
✍️Good Environment 💥
PRICE: 300,000 × 6
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp



















