Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa apartment 
Kodi 450,000 kwa mwezi 
Miezi 4 au 6
Vyumba 3 kimoja master sitting room dinning room kitchen cabinet public toilets Inajitegemea maji na umeme Ipo ndani ya fence 
Piga simu O745010009 au 0742707023
Location bunju b



















