Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD.
USAFIRI WA BAJAJI / DALADALA UPO NAULI TSH 700 UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 3 HADI KWENYE NYUMBA.
Vyumba 4 vya kulala kimoja master
Sebule kubwa
Dining room
Stoo ndani
Jiko lenye makabati
Public toilet Bafu & choo
Rezev Simtank
Tails ###gypsum
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow
Full paving block
Ndani ya fensi parking space kubwa.
------------
Kodi ni laki 500,000 /=
Kwa mwezi
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
----------------
#0625606710