Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 400,000 Kwa mwezi ร 3
Umbali Dakika 3 Tu Kwa mguu toka kituoni
Ndani ya fence zipo 4 parking ya uhakika, reserve tanks.
Kupelekwa kuona nyumba elfu 20,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
Whatsapp O677370515



















