Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA CHAMA MLOGANZILA ROAD
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 350,000 kwa mwezi × 4
Inajitegemea umeme na maji, ndani ya fence parking IPO, ya juu ipo wazi
Umbali KM 1.5 barabara ni lami
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
O753454167