Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(400,000X6)KIMARA KOROGWE...2KM KUTOKA MOROGORO ROAD BAJAJI 500...CHANGAMKA HARAKA SANAA
➖➖➖➖➖➖➖
#400K MALIPO MIEZI X6
HAPA ZIPO APARTMENTS MBILI TU KWENYE COMPOUND MOJA NA KILA MOJA INAJITEGEMEA GETI LAKE 
NI NYUMBA KUBWA SANA INAFAA KWA MTU MWENYE FAMILIA KUBWA INAPANGISHWA 
KODI NI TZS 400K X6 
SIFA ZAKE👇
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA DINING KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI PUBLIC TOILET YA NDANI NZURI SANA 
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA YAKISASA,  ELECTRIC FENCE 
FULL GARDEN FULL PARVING BLOCKS 🚫 
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA PIA MAJI YANAFLOW NDANI 
HEATER YA MAJI MOTO NA BARIDI 
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA YOTE YA MAGARI 
LOCATION KIMARA KOROGWE 👉 KWA MKUWA  UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2 
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK. 10 KWA MIGUU MPAKA SITE 
SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
UKIIPENDA NYUMBA MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453



















