Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







280,000 x 6 KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA
UMBALI KILOMETER 1.5 KUTOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASI
USAFIRI WA UHAKIKA
BAJAJ BUKU TU
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE KUBWA SANA DINNING NA JIKO LA KISASA PUBLIC TOILET YA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING
WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258