Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6 
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#INAVYUMBA VITATU (3)VIKUBWA SANA VYA KULALA ..KIMOJA WAPO NI MASTER 
#SEBULE KUBWA
#DAINING 
#JIKO KUBWA
#STORE KUBWA 
#PUBLIC TOILET 
๐ซ#LUKU YAKO NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA PIA YANAFLOW JIKO NA TOILET 
๐ซ#PARKING 
BEI NI 350,000/= X 6 
๐ฃNYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
 ..UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 ..USAFIRI BAJAJI 1000..DALADALA 700 UKISHUKA DK 1
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0785889413




















