Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#INAVYUMBA VITATU (3)VIKUBWA SANA VYA KULALA ..KIMOJA WAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DAINING
#JIKO KUBWA
#STORE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
5BEI NI 350,000/= X 6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
..UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 ..USAFIRI BAJAJI 1000..DALADALA 700 UKISHUKA DK 1
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710🏠wahiii