Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI NYUMBA KUBWA SANA YA FAMILIA INAPANGISHWA
.
NI APARTMENT
.
KODI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
LOCATION: KIMARA KOROGWE
.
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VITATU VIKUBWA
KIMOJA MASTER KIKUBWA
SEBULE KUBWA
DAINING
JIKO ZURI KUBWA
STOO
PUBLIC TOILET
TILLES & GYPSUM
ALUMINIUM SAFI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
FULL A/C
SEBLEN NA MASTER
KILA CHUMBA KINA MAKABATI
HITER YA MAJI MOTO NA BARIDI
.
NI NYUMBA NZURI SANA IMESHAPIGWA RANGI NDAN MAFUNDI NDO MANAMALIZIA NJE
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
CONTACT
0742260844
0657384670