Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







WAPANGAJI WA TATU TUU NA NJIA MKEKA KARIBUN SANA
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 600,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 6
APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE TSH 20,000/=
What saapp number 0689-547258