Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Ni Apartment 2 Kwenye Compound.Nyumba Ina Vyumba 3 Vya Kulala Master Jiko Sebule Na Public Toilet Inapangishwa Bei 350k Maeneo Ya Kinyerezi Kibaga.
Anapokea kwanzia miezi mitatu.
Muhitaji piga 0688 412 890.