Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


:
APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA
APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO BARABARA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI AU DALADALA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 250,000/= X 6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168