Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Almas Street) , Dar-Es-Salaam, Tanzania🇹🇿
Ina :
🔸️ Vyumba Vitatu Vya Kulala ( Viwili Masta)
🔸️ Sebule
🔸️ Jiko la Kisasa lenye Makabati
🔸️ Parking Space
Ina Ac.
Inajitegemea kwenye Umeme
Mawasiliano : 0625584914
Kodi : 1,000,000 Tsh