Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
HII APARTMENT IPO TABATA KISUKURU MAJI CHUMVI STAND
.
SIFA ZA VYUMBA
===============
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA LINAWEKWA KABATI NA PABLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
.
APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
.
INA TILLES GYUPUSAM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO
.
IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZURI NA BRBR NI RAFIKI KWA GARI YA AINA YOYOTE
.
UFIKAJI
======
UKITOKEA UBUNGO EXSTENO UNAFIKA
.
UKITOKEA TABATA KIMANGA UNAFIKA
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
0712656027