Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Apartments mpya inapangishwa Tabata.
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko (anaweka makabati)
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Parking
- Fence
- Wapangaji 4
- Dakika 1 kutoka lami
Kodi 700,000/=.
Maongezi yapo.
📞 0688 412 890.