Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa Tabata Segerea Chama.
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko
- Full A/C
- Public toilet
- Maji 24/7
- Water reserve tank
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Parking
Kodi 370,000/=.
Kupelekwa 20,000/= itadumu mbaka utakapo pata nyumba.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.