Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







#Repost dalali_mkuu_ubungo_tabata
——
#APARTMENT ZIPO 2 NZURI INAPANGISHWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
#KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#FULL TILLES
#GYPSUM
#ALLUMINIUM SLIDE WINDOWS
#MAZINGIRA MAZURI SANA
#NYUMBA INA FENSI UPANDE MMOJA NA USALAMA UPO WA KUTOSHA
#LOCATION #UBUNGO_RIVERSIDE_KIBANGU
#USAFIRI BAJAJ KUTOKEA UBUNGO RIVERSIDE UKISHUKA UNATEMBEA DKK 3 UMEFIKA NYUMBANI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI
#NOTE : KUJA KUONA NYUMBA NI SHINGI ELFU 20 MPAKA UPATE NYUMBA
#SERVICER_CHARGER_20,000
0712500602
0755336565