Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam



Apartments zinapangishwa, zipo Tegeta Wazo. Zipo nyumba 2
Vyumba vitatu vyote ni master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni Laki 9
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
Karibuni sana