Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Kibada, Dar Es Salaam


APARTMENTS 6,ZINAUZWA-PAMOJA,TSHS 285 MILIONI, KIBADA-KIGAMBONI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.1,841.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hizi apartments (UNITS) 6 zimekamilika.
Na pia kuna 4 ambazo hazijakamilika.
Ilipangwa ziwe jumla 10.
Kila 'unit' ina jumla ya vyumba 3 (Masta1)
Sebule,Jiko,Dining-room na Choo cha Familia ndani.
Hiki ni KITEGAUCHUMI kilichokamilika.
Unaweza kuweka Wapangaji wa kudumu,
Au kutoa Huduma za Air BnB.
ENEO NA AINA YA NYUMBA ZINAUZIKA.
Umbali wa kilomita 8 tu kutoka Feri.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________mpg