Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba ya vyumba vitatu ,sebule , dinning na jiko inauzwa na kiwanja chake kizuri sana kinafaa kuwekeza apartments maeneo aya ukijenga finishing nzuri vyumba viwili had million1 unapangisha
Documents: Hati miliki
Ukubwa : sqmt 650 π
Location: Mbezi Beach. π
Bei million 140 π
ππ½karibu sana boss wangu
KWAMASILIANO ZAIDI
NIPIGIE
0746 433 854



















