Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Bigwa, Morogoro


Apartments • #INAPANGISHWA IKO ~ MOROGORO TZ MAHARI ~ BIGWA STAND 
KODI ~ TSH 300,000/= KWA MWEZI
———————————————————-
NYUMBA YA FAMILIA
YENYE
————————————————————————-
Vyumba viwili vikubwa vya kulala kimoja Master
Sebule kubwa  Jiko lenye makabati, heater ya kuchemshia maji moto 
—————————————————————————
TUWASILIANE 0689712327


















