Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


16/5/2025
Nyumba inapangishwa apartment
Location bunju beach APC
Kodi 400,000 kwa mwezi
Miezi 3
Ipo ndani ya fence Inajitegemea maji na umeme
Vyumba 2 kimoja master sitting room dinning room kitchen cabinet public toilets Inajitegemea
Piga simu O745010009