Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
Location :: GOBA - NJIA YA MAKONGO
Bei :: 600,000Tsh Malipo Miezi 6
Muundo wa Nyumba;
๐Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
๐Sebule
๐Choo cha Public
๐Jiko zuri kubwa
๐Fence
survey charge 20,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
Call 0679 997610




















