Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







0679 997610
APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA GOBA KULANGWA KILOMETA 2.5 KUTOKA MADALE ROAD ( KANJIBAI ) 👉👉 NYUMBA IPO MBALI UKIJA UJUE HILO
__
📍Vyumba Viwili (Kimoja ni Masta)
📍Sebule
📍Jiko lenye makabati
📍Public Toilet
📍Luku Yako
📍Fenced
📍Parking Space ipo.
__
Kodi 300,000/= × 6
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
Simu
0679 997610
0747997630
Msigwa



















