Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ #Mpyaa
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: GOBA NJIA NNE
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 12 - 14 Kutoka Main Road Barabara NZURI Mpaka Kwenye Nyumba.
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa
โข Vyumba VIWILI vya Kulala Kimoja Wapo Master
โข Jiko Kubwa lenye Linawekwa Makabati
โข Choo Kizuri Ndani
โข Balcony
Apartment zipo ndani ya Fensi Inamaliziwa Kujengwa Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 350,000 Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐#๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp