Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
(ZIPO MBILI KWENYE COMPOUND)
Location :: GOBA NJIA NNE - NJIA YA MADALE (KANJIBAI)
Bei Yake :: TSH 350,000 KWA MWEZI
Maelezo;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Master)
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Store
📍Jiko Kubwa lenye makabati
📍Fence
Call / Whatsapp
0782724115