Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA
Location :: GOBA CONTENA (GOBA MWANZONI)- ST. JOSEPH
Bei yake :: 1,000,000 Malipo Miezi 3
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Vyote ni Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fully Airconditioned
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
Call/Whatsapp;
+255625584914


















