Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA:
LOCATION :: GOBA NJIA NNE - KARIBU NA BARABARA
BEI YAKE ::800,000 Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (vyote Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Airconditions
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
Call/Whatsapp;
0718 759287
0685 006223
DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
PIA VIWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA