Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA
š§Location :: GOBA MWANZONI - CONTENA
š§Bei :: 750,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
šVyumba Viwili (Kimoja Masta )
šAC Sebuleni & Kwenye Masterbedroom
šSebule kubwa
šChoo cha Public
šJiko zuri lenye Makabati
šFree Wi-Fi
šElectric Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0782 724 115 š
Call /Whatsapp