Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
đź’§Location :: GOBA NJIA NNE
đź’§Bei :: 400,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba viwili Kimoja Masta
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri lenye makabati
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
Call
📲 0682 402 327 📶
📲 0653 267 999 📶 ya WhatsApp