Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







Apartment Inapangishwa:
(ipo Kwenye fensi) 
Location :: Goba Nash Park
Bei yake :: 700,000Tsh kwa mwezi (Miezi 3) 
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta) 
🌡️Sebule kubwa 
🌡️Jiko lenye makabati 
🌡️Choo cha wageni 
🌡️Fans & Air Conditions 
🌡️Paving Blocks 
🌡️Fence
🌡️Electric Fence
Call/Whatsapp
0692406639




















