Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







Apartment Inapangishwa:
(Zipo Mbili Tu kwenye fensi)
Location :: Goba Madale road nyumba #LAMI
Bei yake ::550,000 kwa mwezi (Miezi 6)
AU UKITAKA IWE NA AC NDANI KODI NI 600,000/= ร 6
Muundo wa nyumba;
๐ก๏ธVyumba viwili (kimoja ni Masta)
๐ก๏ธSebule kubwa
๐ก๏ธJiko lenye makabati
๐ก๏ธChoo cha wageni
๐ก๏ธFans
๐ก๏ธPaving Blocks
๐ก๏ธFence
๐ก๏ธElectric Fence
Call/Whatsapp;
0679997610
0747997630
Msigwa