Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:
(Zipo Kwenye fensi)
Location :: GOBA ROAD KWA ULOMI
Bei yake :: 500,000Tsh kwa mwezi (Miezi 8)
Muundo wa nyumba;
🌡️vyumba viwili vyote ni Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko kubwa sana
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans &
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
Full Ac camera Garden
Call/Whatsapp;
0743456099
0689193185