Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 200,000 kwa mwezi × 6
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikoni
Ndani ya fence parking IPO
Umbali KM 2 kutoka Morogoro road bodaboda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
O753454167