Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







200,000 x6. 0759151524
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI #200k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 200,000 kwa mwezi × 6
Umbali dakika 6 toka kituoni
Ndani ya fence zipo 2 tu kila mtu Inajitegemea umeme na maji parking kubwa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679 956 863
0759151524
0781 418 437