Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


📍Kigamboni Darajani
🏠Vyumba ya Vyumba Viwili kimoja Master
👉Inapangishwa/Apartment
🕐Dakika 4 kutoka Darajani
💰600,000/= kwa mwezi
👉Malipo ni miezi Sita
👉Sebule
👉Jiko
👉Choo cha jumuiya
⚡Umeme wakujitegemea
✅Nyumba zipo ndani fensi
✅Parking kubwa
💧Maji masaa 24/7
📲Call/Whtsp
📲0714079500
📲Normal Call
📲0693658222


















