Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


📍Kigamboni Kisota
🏠Vyumba Viwili kimoja Master
👉Full A/c
👉Apartment Inapangishwa
👉Nyumba ni mpya
💰600,000/= kwa mwezi
👉Malipo ni miezi Sita
👉Sebule
👉Jiko
👉Choo cha jumuiya
⚡Umeme wakujitegemea
⚡Security wire
✅Nyumba zipo ndani ya fensi
✅Parking
💧Maji masaa 24/7
📲Call/Whtsp
📲0714079500


















