Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


📍Kigamboni Geza Juu (Dsm)
🏠Vyumba Viwili kimoja Master
👉Inapangishwa/Apartment
💰400,000/= kwa mwezi
👉Malipo ni miezi Mitatu
👉Sebule
👉Jiko
👉Choo cha jumuiya
⚡Umeme wakujitegemea
✅Nyumba zipo ndani ya fensi
✅Parking
✅Nyumba zipo mazingira mazuri
💧Maji masaa 24/7
📲Call/Whtsp
📲0714079500


















